Wednesday, August 15, 2012

Sanaa na picha




 mimi ninaitwa MODESTUS MBILINYI nimezaliwa Iringa mwaka 1976 mwezi 4 tarehe 26
kabila mbena,Ni mkazi wa Iringa,Fani yangu ni Fundi rangi,seremala Uchoraji,Uchongaji Vinyago Pia
Napiga picha za rangi n.k.Pia ni yatima sina baba ninamama tena hana kazi na Mimi ninashi kwenye
nyumba ya kupanga  Pia hata Mama yangu anaishi nyumba ya Ahsante Wako kupanga
Sna Mengi Zaidi ni hayo tu.

No comments:

Post a Comment