Nimejifunza compunet kwa walimu,majina yako ni Sanna,Brent Williams lakini vizuri sana kweli.
lakini Bado Maendeleo ya Compunet{mimi ni kiziwi} Ahsante sana
Thursday, August 16, 2012
Wednesday, August 15, 2012
Sanaa na picha
mimi ninaitwa MODESTUS MBILINYI nimezaliwa Iringa mwaka 1976 mwezi 4 tarehe 26
kabila mbena,Ni mkazi wa Iringa,Fani yangu ni Fundi rangi,seremala Uchoraji,Uchongaji Vinyago Pia
Napiga picha za rangi n.k.Pia ni yatima sina baba ninamama tena hana kazi na Mimi ninashi kwenye
nyumba ya kupanga Pia hata Mama yangu anaishi nyumba ya Ahsante Wako kupanga
Sna Mengi Zaidi ni hayo tu.
Subscribe to:
Posts (Atom)